Tuesday, December 03, 2013

WAZIRI MKUU AWASILI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge Novemba 3, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment