Sunday, December 08, 2013

PINDA AZINDUA JENGO LA SABATO

  Jimbo la Kusini mwa Tanzania  la Kanisa la Waadventista wa sabato kwenye  uwanja wa maonyesho wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013. Wengine pichani ni Maaskofu kwa kanisa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na maaskjofu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato baada ya kuzindua Jimbo la Kusini kwa Tanzania la Kanisa hilo kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na maaskofu wa kanisa la Waadventista wa Sabato baada ya kuzindua  Jimbo la Kusini mwa Tanzania kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwali Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nisahati na Madini, Eliakim Maswi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment