Ndugu watanzania,
nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri
wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu
mkuu, na wanaoitwa wa jumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao kwa kweli
sijafanikiwa kuwafahamu.
Waraka huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za
ndugu HEMEDI SABULA ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa
CHADEMA MAKAO MAKUU.
Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha
sana kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia
kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa namna hii.
Tafadhali wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania
wengi zaidi waweze kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa
Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadema
regards
No comments:
Post a Comment