Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais 
Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura Bush wakiwa jukwaa
 la viongozi na watu mashuhuri baada ya Kuadhimisha Kumbukumbu
 ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, 
Mheshimiwa Nelson R Mandela leo Desemba 10, 2013 katika uwanja wa FNB 
jijini Johannesburg.
PICHA NA IKULU
 



 
No comments:
Post a Comment