Thursday, December 12, 2013

MATUKIO KIKAO CHA BUNGE

  Mbunge wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment