Thursday, December 05, 2013

JAPHET KAYUNGI AWASILI KAGERA BAADA YA KUSHINDA MOJA YA NAFASI YA KUKIONGOZA CHAMA CHA MASUMBWI

 Japhet Kayungi muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba, akielezea mchakato wa kuwania nafasi za uongozi wa cahama cha ngumi nchini, kulia ni meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera, William Rutta.



No comments:

Post a Comment