![]() |
| Baadhi ya wageni meza kuu, toka kushoto Philbert Nyerere, mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa albamu, Meya Anatory Amani, Askofu Methodius Kilaini na Padre Alcheleus. |
![]() |
| Wasanii wa kikundi cha Kapotive star Singer. |
![]() |
| Kulia ni mshereheshaji maarufu mkoani Kagera Bw. Lutakwa, anayefuata ni mratibu wa kundi hilo Bw. Kagya. |
| Katikati ni msanii maarufu Bw. John Mgango aliyetunga wimbo wa hamasa ya maendeleo ya mkoa wa Kagera. |
![]() |
| Wasanii wa Kapotive stra singer wakizindua albamu yao ya zawadi ya kristimas. |
![]() |
| Kushoto ni msanii maarufu nchini ambaye ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Upendo Nkonyi, kulia ni mmoja wa wakurugenzi wa mtandao huu, Margareth Abella Mwesiga. |










No comments:
Post a Comment