Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masere (kushoto kwake) wakizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni Mjini Dodoma Machi 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment