Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwenyekiti wa Kamati ya Kumshauri
Mwenyekiti Kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa
Mahalu, bungeni mjini Dodoma Machi 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
mjini Dodoma ambamo Wajumbe wanakutana kujadili rasimu ya kanuni za
Bunge Maalum za mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment