Thursday, March 27, 2014

MWILI WA RC TUPA WAWASILI DODOMA

Askari wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Dodoma Machi 27, 2014. Marehemu ataagwa kwenye viwanja vya Nyerere Dodoma Machi 28, 2014 kabla ya kusafirishwa  kwenda kilosa kwa mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment