Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale- Mwiru (kulia) na
Augustine Lyatonga Mrema wakiteta, bungeni jini Dodoma Machi 19, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Machi 19, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment