WARIOBA AWASILISHA RASIMU YA PILI YA KATIBA BUNGE MAALUMU
Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya
Katiba mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini
Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya
Mabmadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) baada ya
Mwenyekiti huyo kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya bele ya
wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bungeni Mjini Dodoma Machi 18,
2014.Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia
Suluhu
(kuli), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Profesa Anna
Tibaijuka, Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (watatu kushoto)
na watatu kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani , Mathias Chikawe.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment