Ø ATAO WITO KILA MKOA UJITAMBULISHE KWA
ZAO LAKE,
Ø AWANANGA CHADEMA KUWA WAASISI WA
SIASA ZA UKANJANJA.
Ø AMPONGEZA TUNDU LISU KWA KUWA KIONGOZI MJANJA.
Ø AKABIDHI KADI 50 KWA
VIJANAWALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MA PINDUZI (CCM) NA KUVUNA WANACHAMA WENGINE KUTOKA
CHADEMA.
KatibuwaIdarayaUhamasishaji
na ChipukiziwajumuiyayaUmojawaVijanawa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)
ambaepianiMjumbewa Bunge Maalum la katibaNdugu Paul
MakondaamefanyaziarayakikazikatikaMkoawaSingida na
kusimikamakamandawateulewajumuiyayaVijanawa Kata 16 zawilayayaSingidaMjini.
Shughulihiyoyakusimikamakamanda
16 iliyofanyikaKatikaMkutanowahadharakatikauwanjawaUkomboziuliopo Kata
yaMajengoSingidaMjiniilihudhuriwa na
mamiayawananchiambaowalijitokezakumsikilizakiongozihuyowaJumuiyayaVijana.
Akiongeanawananchi,
Paul MakondaamewatakaMakamandahaowateulekufanyakazikwaajiliyaJumuiya, Chama na
wananchi, amewatakawatambuekuwanafasihiyonikubwa na yamsingikwa Maendeleo
yaVijana na wananchikwaUjumla.
LakinipiaamewatakawananchiwaSingida
na
watanzaniawamikoayotekujitambulishakimikoakatikasurayakimataifakwaainayazaowanalozalisha,
aliwatakawanasingidakujitambulishakwazao la alizet na
kutumiakilimokamanyenzomuhimuyakijiletea Maendeleo yaKiuchumi.
Katikamkutanohuo,
Makondaalikabidhikadikwavijana Zaidi ya 50 ambaowaliamuakujiunga na JumuiyayaUmojawaVijanawa
Chama Cha Mapinduzi na kupokeawanachamawenginekutoka Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na kiongoziwaVijanawa CHADEMA wa Kata
hiyonduguYasinAthuman.
Pia,
aliwanangaViongoziwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kuachazaUkanjanjazakutumiamatatizoyawananchikamadaraja la
kufikiamafanikioyaobinafsi. Asemawanashindwakutumiarasilimalizaokujiimarishakama
Chama na
kusaidiakutatuamatatizoyawananchibadalayakutumiafedhanyingikwakukodihelkopta na
kufanyamatumiziyasiyo na msingiyasiyojalimustakabalmwemawaWananchi. Piaamsifu
nakumpongezaTunduLissukuwanikiongozimjanjandaniya Chama
hichokwanibaadayakugunduakuwa Chama hichokinaendeshwakiukoo na
kifamilianaeakamchukua Dada yakeanayeitwa Christina Lissuna
kumpaUbungewaVitimaalum.
No comments:
Post a Comment