MAMBO YA BUNGE LA KATIBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiteta na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bungeni mjini Dodoma
Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe
na Wapili kulia ni James Mbatia. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuuy)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe,
wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya
kusitishwa shughuli za Bunge Maalum la Katiba. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment