Monday, March 31, 2014

NDEGE WALIOVAMIA KISIWA CHA MSIRA KILICHOKO NDANI YA ZIWA VICTORIA

Hawa ndio ndege waliovamia kisiwa cha msira, wanadaiwa kuleta madhara makubwa kwa wakazi wa kisiwa hichi kilichoko ndani ya ziwa Victoria, wanadaiwa kusabababisha magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kuharisha na madhara mengine mengi.

No comments:

Post a Comment