Wednesday, April 17, 2013

WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni Frlister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika  mjini Dodoma Aprili 17,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment