Saturday, April 13, 2013

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU ALBINO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifngua kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifungua kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. Kuliani Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr.Seif Rashid.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment