Monday, April 08, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA ZANZIBAR


 Kiongozi wa Kanisa la Anglikana la Zanzibar akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
 Wake za vionvgozi mbalimbali pamoja na mabalozi wakiwa katika dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013.

No comments:

Post a Comment