Friday, April 19, 2013

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MAOFISA WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA

 Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Kamala (Mwenye miwani) akiwa na Katibu Mkuu wa Mahakama  ya Kudumu ya Usuluhishi Mhe. Hugo Siblesz.
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Kamala akisalimiana na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia Mhe. Serge Brammertz.

No comments:

Post a Comment