Sunday, April 07, 2013

MWENYEKITI UVCCM AVIPIGA JEKI VIKUNDI VYA WAJASILIAMALI

OMAR SULEYMAN, Katibu wa Uchumi na Fedha wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, akitoa maelekezo kwa vijana wa vikundi vya ujasiriamali vya jimbo la donge juu ya namna ya kutumia fursa ya uwezeshaji iliyopatikana katika kuongeza juhudi na kujituma katika uzalishaji.

No comments:

Post a Comment