Saturday, April 06, 2013

DR.KAMALA AENDELEA KUITANGAZA TANZANIA

 Mhe Balozi Dr. Diodorus B. Kamala Balozi wa Tanzania Ubelgiji akiwa wenyeji wake wa Oostende Ubelgiji wakiwa wamepanda usafiri wa farasi tayari kuanza safari ya kuutembelea mji wa  Oostende baada ya mkutano wake na Watanzania wanaoishi Oostende Ubelgiji.

No comments:

Post a Comment