Sunday, April 14, 2013

KIKAO CHA WADAU WA USAFIRI NA USAFIRISHAJI KILICHOANDALIWA NA SUMATRA KAGERA



 Afisa wa mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu (SUMATRA) akielezea vigezo vilivyotumiwa kupanga viwango vipya vya nauli wakati wa kikao kati ya mamlaka hiyo na wadau wa usafiri na usafirishaji mkoani Kagera kilichofanyika kwenye uwanja wa michezo wa kaitaba ulioko katika manispaa ya Bukoba.




No comments:

Post a Comment