Thursday, April 25, 2013

BALOZI Dr. KAMALA NA WASOMI

Balozi wa Tanzania  Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa na Wanafunzi kutoka Tanzania wanaosoma masuala ya Maji katika Taasisi ya Elimu ya Maji ya Kimataifa (UNESCO), Delft Uholanzi. Watanzania kumi na sita kutoka Tanzania wamehitimu katika fani za usambazaji wa maji, maji na mazingira, usimamizi wa raslimali za maji na utatuzi wa migogoro ya maji.

No comments:

Post a Comment