Baadhi ya maofisa wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na waziri wa elimu, vijana, utamaduni na michezo Fenella Mukangara alipokuwa kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera, kanali mstaafu Fabian Massawe.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe akisikiliza maelezo toka kwa waziri Mukangara.
Afisa elimu wa mkoa wa Kagera Florian Kimolo akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na waziri Mukangara.
No comments:
Post a Comment