Pages
Home
NEWS
PHOTOS
EDUCATION
Monday, December 24, 2012
MKUU WA MKOA KAGERA ATOA MISAADA KWA MAKUNDI YASIYOJIWEZA
Mkuu wa mkoa wa Kagera, kanali mstaafu Fabian Massawe akiongea, kabla ya kutoa misaada kwa makundi yasiyojiweza, alikuwa akiongea mstakabali wa maendeleo ya mkoa wa Kagera, alisema mambo yanayochangia kudumaza maendeleo ya mkoa wa Kagera kuwa ni pamoja na fitina, roho ya korosho, kitandugao, eitima, olwango na obunafu.
Massawe akitoa zawadi kwa kikundi cha kulea watoto yatima cha Nusuru yatima
.
Bi. Saada Suleimani wa kikundi cha uyacho akipokea msaada wa mbuzi toka kwa mkuu wa mkoa, hiyo ilikuwa nki zawadi ya Kristmas.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment