Thursday, December 13, 2012

ZIARA YA MISS REDD'S MKOANI KAGERA KATIKA KITUO CHA SHULE YA MUGEZA MSETO

 Miss redd's 2012, Brigiit Alfred Lyimo akiwavalisha kofia za kuwakinga jua wenye ulemavu wa ngozi, kofia ni sehemu ya zawadi alizozitoa katika shule ya msingi ya mgeza mseto.
 Miss Redd's akiwa amembeba mmoja wa walemavu wa ngozi.
 Akiwapa walemavu wa ngozi mafuta maalumu ya kujipaka.
 Akimvalisha mmoja wa walemavu wa ngozi miwani maalumu ambayo ni sehemu ya misaada aliyoitoa.
 Akiwa amepozi katika picha ya pamoja na mmoja wa walemavu wa ngozi.
 Akitoa zawadi ya fimbo kwa wasiiona.
 Akiongea na watoto wa kituo cha mugeza mseto mara baada ya kukabidhi zawadi ambazo ni pamoja na vyakula mbalimbali na vifaa mbalimbali kwa watoto wanalelewa katika kituo cha shule ya mgeza mseto iliyoko katika manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera.
Miss Redd's aliyembeba mmoja wa walemavu wa ngozi akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi.

No comments:

Post a Comment