Thursday, December 06, 2012

KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA VIWANGO VIPYA VYA NAULI

Baadhi ya washiriki wa mkutano uliaondaliwa na SUMATRA.
 Washiriki wengine.
 Kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya inayosimamia masuala ya majini na nchi kavu (SUMATRA) Bw Ahmed Kilimba akiongea wakati wa kikao cha mamlaka hiyo na wamiliki wa vyombo vinavyosafirisha  abiria kilichofanyika kwenye ukumbi wa mtakatifu Francis.
 Katibu tawala wa mkoa wa Kagera Nassor Mnambila, akifungua kikao.
Wadau wa SUMATRA.

No comments:

Post a Comment