Thursday, December 20, 2012

RAIS MSEVENI ATIMIZA AHADI YAKE ALIYOITOA KWA PROFESA ANNA TIBAIJUKA YA KUMPA ZAWADI YA NG'OMBE

 Waziri wa ardhi nyumba na makazi Profesa Anna Tibaijuka akiangalia ng'ombe wake wa zawadi aliopewa na rais wa Uganda Kaguta Yoweli Mseven waliowasili kwenye eneo la mpaka wa mtukula.



Profesa Tibaijuka akishangilia baada ya kuwapokea ng'ombe sambamba na mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe (mwenye miwani) na mshauri wa ofisi ya rais ya Uganda katika masuala ya mifugo Dr Sam Byagagaile.
 Maofisa walioshiriki kuwapokea ng'ombe.





No comments:

Post a Comment