Gari lililokuwa linaendeshwa kwa kasi ya ajabu na vijana ndani ya manispaa ya Bukoba wanaodaiwa kuwa walikuwa wamelewa chakali, sereva alikuwa na nia ya kugonga watu hali iliyowafanya waikimbie barabara.
Mmoja wa vijana waliokuwa ndani ya gari hilo akiwatishia watu, hata hivyo jeshi la polisi lilifanikiwa kuwatia mbaroni.
Mmoja wa vijana akitoa matusi.
No comments:
Post a Comment