Thursday, December 06, 2012

WASANII WANAOTIKISA MJI WA BUKOBA

Wasanii hawa walikutwa wakitumbuiza kwenye baa inayijulikana kwa jina  la Garden, iko katika manispaa ya Bukoba, kila wimbo wanaotumbuiza wanautoza kwa shilingi 1,000.

No comments:

Post a Comment