Thursday, December 13, 2012

MISS REDD'S ZIARA YAKE KATIKA KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA NUSURU

 Miss Redd's Tanzania 2012 Brigiit Alfred akiwa amembeba mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Nusuru yatima kilichoko katika manispaa ya Bukoba.
 Miss Redd's akipokea zawadi ya mkeka toka kwa mmiliki wa kituo cha nusuru yatima.
 Mambo ya fedha hayo.
 Miss Redd's akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha nusuru yatima.
Miss Redd's akiwa amepozi katika picha na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima.

No comments:

Post a Comment