Monday, December 10, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU HAKI ZA BINADAMU

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mary Kidima wakatika alipokagua banda la Taasisi hiyo katika maadhimisho ya  Siku ya Haki za Binadamu  na Siku ya Kuia na Kupambana na Rushwa  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es salaam Desemba 10,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)SIKU


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozana na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe (wapili kulia), Naibu wake  Angellah Kairuki  (kulia), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume ya haki za Binadamu  na Utawala Bora, Jaji Mstaafu, Amir Maneto (katikati) baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya  siku ya  Haki za Binadamu na Siku ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwenye viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es salaam Desemba 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment