Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22,
2012 wakielekea kwenye sehemu ya boma maalumu la kulea na kuhifadhi
mbwa mwitu muda mfupi kabla ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama
hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la
mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22,
2012 akikata utepe katika boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa
mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15
waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi
huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa mwitu wakirejea mbugani baada ya kuachiwa huru kundi la pili la
wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma
maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi
mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment