WAZIRI MKUU PINDA NCHINI UCHINA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glass na Waziri Mkuu wa
China, Li Keqiang katika hafla ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano
katika nyanja mbalimbali kati ya China na Tanzania kwenye Ofisi ya
Waziri Mkuu mjini Beijing
Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment