Waziri Mkuu,
Mizengo PInda kipokeazawadi ya pichakutoka waGavana wa jimbo laGuangdong nchini China, Bw. Zhu Xiaodanbaadaya mazungungumzo yao kwenye hoteliya Dong Fang mjini Guanzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China
Oktoba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment