WAZIRI MKUU AKUTANA NA WADAU WA USAFIRISHAJI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa TATOA ofisini
kwake jijini Dar es salaam Oktoba 7 2013. Kushoto kwake ni Waziri wa
Uchukuzi, Harison Mwakyembe na watatu kulia ni Mwenyekiti wa TATOA, Seif
Ali Seif. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment