Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Wahandisi na mafundi kutoka
Korea ya Kusini ambao wanajenga daraja la kto Malagarasi
linalounganisha mikoa ya Kigoma na Tabora akiwa katika ziaraya mkoa wa
Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Msimazi Mkuu
wa ujenzi wa daraja la mto Malagarasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja
hilo linalounganisha mikoa ya Tabora na Kigoma. Walikuwa katika ziara
ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Daraja mto Malagarasi linalojengwa na Kampuni kutoa Korea Kusini .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikagua daraja hilo akiwa katika ziara ya
mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013.Ujunzi wa daraja hilo umekamilika kwa
zaidi ya asilimia 90. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment