Saturday, February 16, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGA MKUTANO WA MWAKA WA MAOFISA WA POLISI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Said Mwema (kushoto) na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, APC Dhahiri Kidavashari baada ya kufunga mkutano wa mwaka wa maofiasa wa polisi nchini, kwenye ukumbi wa Sekwa Bungeni jini Dar es salaam Februari 15, 2012. (Picha na Ofisi yaWazirioMkuu)

No comments:

Post a Comment