Tuesday, February 05, 2013

MGOGORO NDANI YA MANISPAA WAITESA CCM

 Naibu katibu mkuu wa CCM, Mwigulu Chemba akiingia kwenye uwanja wa uhuru uliko katika manispaa ya Bukoba kwa ajili ya kuongea na wananchi wa manispaa hiyo.
 Nchemba akisaini kitabu cha wageni, kulia kwake ni mwenyekiti wa CCM wa Bukoba mjini Yusuph Ngaiza na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera, Costancia Buhiye, mwingine ni katibu wa mkoa wa kagera Peter Mushi.
 Baadhi ya wananchi wachache waliojitokeza kumsikiliza Nchemba wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.
 Hali ilivyokuwa kwenye uwanja wa uhuru, viti vinaonekana vikiwa vitupu, hii ilisabababishwa na mgogoro wa kisiasa uliko katika manispaa ya Bukoba kati ya madiwani wa manispaa ya Bukoba na meya Anatory Amani.

No comments:

Post a Comment