Wednesday, February 13, 2013

SAJAWAKA KUJENGA NYUMBA ZA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIILIMA

Katibu Tawala Mkoa Kagera wa Kwanza Kushoto Bw. Nassor Mnambila Pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya UOA-T na SAJAWAKA Kulia Wakijitayarisha Kuaini Mkataba wa Maelewano Katika Kuendeleza Kituo cha Kutunza Wazee na Watoto Yatima Kiilima.

No comments:

Post a Comment