Friday, February 15, 2013

MAMBO YA CHAKULA CHA MCHANA KILICHOANDALIWA NA JUMUIA YA WAFANYAKAZI WA REDIO YA KASIBANTE

 Baadhi ya wageni walioshiriki chakula cha mchana kilichoandaliwa na jumuia ya wafanyakazi wa Radio Kasibante kwa ajili ya watoto yatima na walemavu wa ngozi chakula hicho kiliandaliwa kwenye viwanja vya Radio hiyo iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
 Baadhi ya watoto walioudhuria chakula kilichoandaliwa na Radio Kasibante.
 Baadhi ya wageni waalikwa.
 Mkurugenzi wa Radio Kasibante, Richard Leo akiteta jambo na Bw. Kagasheki.
 Afisa mahusiano mwandamizi wa mgodi wa Tulawaka unaomilikiwa na kampuni ya Barrick, Bahati Mwabene akiongea wakati wa chakula cha mchana, kampuni hiyo ndio ilifadhili chakula kwa sehemu kubwa.

No comments:

Post a Comment