Tuesday, February 05, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI MKOANI KAGERA

 Mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wsa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe wakati wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya sheria nchini, kulia ni jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Bukoba Bw. Mjemas.
 Mwanasheria Aaron Kabunga akisoma taarifa ya mawakili wa kujitegemea.
Baadhi ya mahakimu na maofisa wa mahakama.

No comments:

Post a Comment