Saturday, February 16, 2013

Dr. KAMALA AENDELEA KUPETA NCHINI UBELGIJI

Dr. Mihaela Smith Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jumuiya ya Madola ya Smart Partnership akimkabidhi Bendera ya Smart Partnership Balozi Dr. Diodorus Kamala kama ishara ya kukabidhi Dr. Kamala Uenyekiti wa Kuongoza Mabalozi wa Brussels ambao ni Wanachama wa Taasisi ya Jumuiya ya Madola ya Smart Partnership.

No comments:

Post a Comment