Monday, February 18, 2013

MELI YA KUPAMBANA NA UHARAMIA TOKA NCHINI URUSI YAWASILI DAR

Meli ya kivita ya kupambana na uharamia aina ya Anti Submarine iitwayo Marshal Shaposhnikov’, ilipokuwa ikiingia na kasha baadae kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa ziara fupi yenye lengo la kuimarisha urafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi.

No comments:

Post a Comment