Wednesday, April 22, 2015
PINDA AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA LA CHINA
 WAziri 
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la 
Biashara  la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business 
Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini  kwa Waziri 
Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa
 Kituo cha  Tanzania - China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na 
Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAziri 
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la 
Biashara  la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business 
Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini  kwa Waziri 
Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri 
Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment