Pichani ni Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pacific 
Balozi Patrick Gomes (kushoto) baada ya kufanya mazungumzo na Balozi wa 
Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala P ofisini kwake 
Ubeligiji. Kulia ni Balozi Jagne msaidizi wa Balozi Gomes.
                              
No comments:
Post a Comment