BALOZI KAMALA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P akiwa katika 
picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali baada ya Ufunguzi wa Kongamano la
 Biashara la Kimataifa linalofanyika Ubeligiji. Balozi Kamala anaongoza 
ujumbe wa Wafanyabishara zaidi ya hamsini kutoka Tanzania na maofisa wa 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wanaoshiriki katika 
Kongamano hilo.
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment