Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya
Kichina ya China Merchant Holdings International (CMHI) Ofisini kwake
jijini Dar es salaam Januari 10, 2013. Kushoto kwake ni Kiongozi wa
Ujumbe huo , Hu Jianhua na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Dr. Mary Nagu. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga bandari mpya ya
Bagamoyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka
Kampuni ya kichina ya
China Merchant Holdings International (CMHI), Bw. Hu Jianhua kabla
ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam Januari
10, 2014. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga kampuni mpya ya Bagamoyo.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment