Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Bukoba waliokuwa na nia ya kujua yaliyoko kwenye taarifa ya ukaguzi ya CAG. |
Bernadetha Mshashu mbunge wa viti maalumu mkoani Kagera, na mwenyekiti wa bunge la wanawake la afrika alikuwa miongoni mwa walioudhuria kikao hicho. |
Anatory Amani, Meya wa manispaa ya Bukoba aliyetakiwa kujiuzulu huyu hapa. |
No comments:
Post a Comment