Tuesday, January 28, 2014

MAMBO YA CHAKULA CHA MCHANA KILICHOANDALIWA NA SHIRIKA LA MASISTA WA CANOSSA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiangalia kwa makini watoto waishio katika mazingira magumu aliposhiriki nao pamoja kwenye chakula cha mchana kilichoandaliwa na shirika ma masista wa CANOSSA lililoko mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment